BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Pole zake sana Mungu amponye tunamuombeaSad info ...
Katika mchezo wa la Liga BBVA...
Atletico Madrid dhide ya Depotivo.... Fernando Tores aliruka juu kuokoa mpira wa kona na kwa bahati mbaya akagongana na mchezaji wa Depotivo na wakati anatua chini alitanguliza chini sehemu kubwa ya kichwa na kusababisha kumeza ulimi wake...... Shukrani ziwaendee wachezaji waliokuwa karibu na kumuwahi haraka haraka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Mpaka Leo asubuhi anaendelea vyema na ame Twitte kuwashukuru wote walio mtumia meseji..... Uwanja ulijawa na simanzi kwa pande zote mbili...... Kweli mpira sio vita.
Get well soon and recover quickly El NiΓ±o.
Kwanini umeipenda? Kuna dogo unamzimia?nimeipenda obe hii
I see inatisha in ajali mbayaKwahiyo huduma ya kwanza huwa ni kumvuta ulimi?
Haya mambo yanatokea sana juzijuzi nimeshuhudia nyingine
.....
Lema Mungu akusaidie upate dhamana
Mungu atusaidie kwakweli kuju nafasi zetu wajibu Na majukumu yetu pia
Inashtua sana ...Nimesisimuka mwili mzima duu pole sana
Asante sana kwa kutuwazia kutushirikisha mema nasubiri kwa hamu kusoma Hapa karibuHabari wakuu nahisi mtakua mnaendelea vizur
Kwakua wote humu ndani ni kama familia moja basi tunapaswa kugawana kile kidogo tunacho kifahamu, kusema hivyo leo rasmi nitaanza makala itakayokua inahusu JE WAJUA ili tuweze kufahamishana vile tusivyojua au kukumbushana yale tunayojua. Pia kutakua na makala ya PHOBIA ili kila mmoja afahamu ni aina gani ya phobia aliyo nayo. Naombeni ushirikiano wenu pia mnikosoe pale nitakapo kosea .
Ahsante soon nitaanza kuporomosha vitu
Apole sanaSad info ...
Katika mchezo wa la Liga BBVA...
Atletico Madrid dhide ya Depotivo.... Fernando Tores aliruka juu kuokoa mpira wa kona na kwa bahati mbaya akagongana na mchezaji wa Depotivo na wakati anatua chini alitanguliza chini sehemu kubwa ya kichwa na kusababisha kumeza ulimi wake...... Shukrani ziwaendee wachezaji waliokuwa karibu na kumuwahi haraka haraka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Mpaka Leo asubuhi anaendelea vyema na ame Twitte kuwashukuru wote walio mtumia meseji..... Uwanja ulijawa na simanzi kwa pande zote mbili...... Kweli mpira sio vita.
Get well soon and recover quickly El NiΓ±o.
Umesisimuka???Nimesisimuka mwili mzima duu pole sana
Nikweli .Wachezaji Ulaya na ligi zingine kubwa wamefundishwa First Aid kumbuka mchezaji ndo mtu aliye karibu zaidi na tukio uwanjani kuliko daktari wa timu
......
Habari wakuu nahisi mtakua mnaendelea vizur
Kwakua wote humu ndani ni kama familia moja basi tunapaswa kugawana kile kidogo tunacho kifahamu, kusema hivyo leo rasmi nitaanza makala itakayokua inahusu JE WAJUA ili tuweze kufahamishana vile tusivyojua au kukumbushana yale tunayojua. Pia kutakua na makala ya PHOBIA ili kila mmoja afahamu ni aina gani ya phobia aliyo nayo. Naombeni ushirikiano wenu pia mnikosoe pale nitakapo kosea .
Ahsante soon nitaanza kuporomosha vitu
HahahaMalema=Lema
Owkey, yu lostSiwezi potea mkuu
Picha hizi huwa zinaniongezea uelewa asante mkuu
Pamoja mkuuSantee mussolin kwa historia
Kumbe juzi tu1938 - Mafuta yagundulika huko Saudia Arabia.
Faru- Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanyama pori Duniani.
Katika kuadhimisha siku hii ni Mnyama gani wa porini unamkubali?
Is he overrated?
Pele hakuna na kipaji chochote zaidi ya kuvizia km Amissi Tambwe
π π π
.....
Teh teh teh
Namkubali Faru John pekee
....
Caracal- Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanyama pori Duniani.
Katika kuadhimisha siku hii ni Mnyama gani wa porini unamkubali?