Nitafuata ushauri wako mkuuNi vema ujali afya yako sana afadhali ule ushibe lakini ufanye TOBA,UTOE SADAKA NA MUNGU ATAUJALI MFUNGO WAKO MAANA UTAKUA UMESAIDIA WAHITAJI MUNGU ANAJUA UNALOPITIA POLE SANA
Goodmorning Sir have a Blessed dayGoodmorning family
Asante sana uwe na wakati mwema ubarikiwe sana kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie Alhamisi njema.
Bado wapo kweli ?sijawasikia siku nyingi,natamani nipate habari zao,ukiwapata naomba niambie tafadhaliMorning bro, kuna ndugu yangu aliumwa vidonda vya tumbo akatumia dawa za TIANS akapona kabisa.....hebu fanya kuwatafuta kama hutajali.
Hahaahaha Shunieata mm nilihisi
kazi ipoOvuuuukoooooziiii
nipo mama mchungaji na mm nilikumiss sana hope lee alikupa salam zanguUpo dear ubarikiwe sana nimekumiss hapa
Mmmmh hatari
Ni Vidonda au gastritis siku hizi wameimprove kuna dawa kama wakipima na kuona wadudu kuna KIT inasaidia pole sanaSijaenda hospital kwan ugonjwa wangu naufaham nilishakwenda sana huko
Kwauwezo wa Mungu na nia uliyonayo UTASHIRIKI MUNGU ANAONA ATAFANYA JAMBOAhsante sasa hv nimebadir January kurud nyuma nilikua nalala saa 9 ila sasa saa6 tu nalala.. Daah kwaresma sijui kama nitashiriki vzr
Karibu tunakuombeaNitafuata ushauri wako mkuu
Amenipaaa asante nakutakia barakaaaanipo mama mchungaji na mm nilikumiss sana hope lee alikupa salam zangu
Asante mkuu ObeDikteta atakuja mwenyewe, nasafisha njia tuu
Tarehe 2 Machi
2 Mar, 1836 - Jimbo la Texas, ambalo ni la pili kwa ukubwa katika USA linapata uhuru wake toka kwa Mexico.
2 Mar, 1990 - Rais wa kwanza mzalendo baada ya ukaburu kuanguka Nelson Mandela
anachaguliwa kuwa naibu rais wa ANC. Rais wa ANC wakati huo alikuwa ni Oliver Reginald Tambo
Asante Mkuu Bitoz kwa habari katika picha barikiwa
Dikteta atakuja mwenyewe, nasafisha njia tuu
Tarehe 2 Machi
2 Mar, 1836 - Jimbo la Texas, ambalo ni la pili kwa ukubwa katika USA linapata uhuru wake toka kwa Mexico.
2 Mar, 1990 - Rais wa kwanza mzalendo baada ya ukaburu kuanguka Nelson Mandela
anachaguliwa kuwa naibu rais wa ANC. Rais wa ANC wakati huo alikuwa ni Oliver Reginald Tambo
asante mama mchungaji na kwako piaAmenipaaa asante nakutakia barakaaaa
Amen asante sanaasante mama mchungaji na kwako pia
Women are very funny creatures.They hate it when you ask them their Age but will kill you when you forget their Birthday.