Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dikteta atakuja mwenyewe, nasafisha njia tuu

Tarehe 2 Machi
2 Mar, 1836 - Jimbo la Texas, ambalo ni la pili kwa ukubwa katika USA linapata uhuru wake toka kwa Mexico.



2 Mar, 1990 - Rais wa kwanza mzalendo baada ya ukaburu kuanguka Nelson Mandela
anachaguliwa kuwa naibu rais wa ANC. Rais wa ANC wakati huo alikuwa ni Oliver Reginald Tambo
Gud
 
1961 - Rais John F. Kennedy anatangaza live kupitia luninga kuanzishwa kwa Peace Corps nchini Marekani.

Peace Corps wanajihusisha na kazi za kijamii kama vile kutangaza asili na tamaduni za Wamarekani kwa wageni na hata kwa raia wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom