ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] yani uscreenshot kisha akija unamtag???
Umetishaaaaa[emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji85] [emoji85] yani uscreenshot kisha akija unamtag???
Umetishaaaaa[emoji119] [emoji119]
Mkuu jichawi dah[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kuch kuch hotae[emoji7]Hebu nisikie kidogo basi[emoji101] [emoji101]
Dalili nzuri hapaKuch kuch hotae[emoji7]
Okay poa, nilijua labda mnafahamiana nje ya hapa maana hili jina lako ni balaa.Hatuna undugu mkuu.....tumefahamiana hapa hapa
Hayo sasa ndio maneno[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Basi kheri,tunawatakia mazungumzo mema.
Maada zenu ni tata hadi huwa nawaogopa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hatuna undugu mkuu.....tumefahamiana hapa hapa
SanaaaaaaaDalili nzuri hapa
Karibu sanaNaam nipo kambi hii rasmi mkuu
Na iwe njema kwako piaJioni njema Wapendwa.
Yeah nawakubali sana kwa ujuzi mnaoshare[emoji106] [emoji106] [emoji106]Hahah ni ku share mawazo tu
Hebu tupia kauchawi kadogo hapa mkuuNaam nipo kambi hii rasmi mkuu
Halafu naomba majibu kabla ya SAA moja pleaseSanaaaaaaa
tarehe ya nn tena
subiri upewe kadi ya mwaliko mkuu, usiogope michango, familia itawajibika
Na kweli shemShem hawa si ndio wale vijana wanaopita na kuchungulia madirishani kwa watu sasa dawa si kuwamwagia maji ya moto ila nikuwaelewesha kuwa tabia hiyo si nzuri....na undugu unaendelea tu..