Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kwasababu mafanikio ya kila mwanaume yako nyuma ya mwanamkeWanawake ni kama mwanga unaopendezesha huku ndani, pindi wanapo ondoka giza la kutisha hulikumba kundi ...
sijui kwa nini
Kwasababu mafanikio ya kila mwanaume yako nyuma ya mwanamkeWanawake ni kama mwanga unaopendezesha huku ndani, pindi wanapo ondoka giza la kutisha hulikumba kundi ...
sijui kwa nini
Mi sisalimiwiUsijali baby wangu nitawasalimia.
cc: Th Name,
youngblood,
sumbai,
manuu,
peterchoka,
Le prezdaa Bitoz,
Linamo,
lizziebettie,
amaizing,
cute b,
Nahrene.
Mnasalimiwa na my sweet aggyjay.

Kuna shida ndugu yangu..Weweee.....
Niko poa JimenaNiko poa, habari ya wewe?
Kama mpaka umri huu mambo hayajakaa sawa mtafute Mshana Jr.
Shem hawa si ndio wale vijana wanaopita na kuchungulia madirishani kwa watu sasa dawa si kuwamwagia maji ya moto ila nikuwaelewesha kuwa tabia hiyo si nzuri....na undugu unaendelea tu..![]()
![]()
ukajua manuu kageuka dog?
Maana yake ni kuwa kama huyo bibi bado hajakata tamaa basi sisi tunayo nafasi ya kufanikiwa, hakuna kukata tamaaKama mpaka umri huu mambo hayajakaa sawa mtafute Mshana Jr.
Umepotea njia dada angu?Mchana mwema wapendwa
Kweli kabisa hatupaswi kukata tamaa hata siku moja.Maana yake ni kuwa kama huyo bibi bado hajakata tamaa basi sisi tunayo nafasi ya kufanikiwa, hakuna kukata tamaa
Nina soft copy ya kitabu kilichoandikwa na Donald Trump- How to Get Rich....Jamaa akiwa ametulia ana point sana..Kwa yeyote atakaye hitaji atakipata..
Yes Trump ana point sanaaNina soft copy ya kitabu kilichoandikwa na Donald Trump- How to Get Rich....Jamaa akiwa ametulia ana point sana..Kwa yeyote atakaye hitaji atakipata..
Mbona unakaba sana mkuu?... Mimi ni mpita njia tu, natafuta huko waliozubaa zubaa mkuu ila naona huyu siyo!Kwani ni vibaya nami kujua, kumbuka mimi ni shemeji mtu na lizziebettie.
Nini mpenzi
Ila akiwa ametuliza kichwa ila ukimkuta ndo ametoka usingizin dah jamaa huwa hafai kabisa...Yes Trump ana point sanaa
Watu wanataka kumjua shemeji yao humu. Maana baadae naweka list nzima ya couplesMie pia niko poa sana