Salama kabisaHabari zenu dears? Nawasalimu wote kwa busu takatifu![]()

Ndo maana nakaza maana huyo ni shem wangu.Mbona unakaba sana mkuu?... Mimi ni mpita njia tu, natafuta huko waliozubaa zubaa mkuu ila naona huyu siyo!
Poa poa sana u hali gan weye?Habari zenu dears? Nawasalimu wote kwa busu takatifu![]()
Asante mkuuCC youngblood cheki nondo hizo kutoka kwa Trump akiwa ametuliza kichwa huwa anatema madini kiaina..
Mimi niko poa sana ,namshukuru Mungu.Poa poa sana u hali gan weye?
Niko na Library ya kiaina so usisite kunichek kwa chochote kile unachotaka kukipiga ntachek kama ntakua nacho ntakipandisha tu bila hiana..Si unajua wewe shemeji ..Asante mkuu
Pole kwa mkosi wa JanaHabari zenu dears? Nawasalimu wote kwa busu takatifu![]()
Ni kweli mwanzoni Jimena alikuwa ameanza kulegea lakini sijui nini kilitiokea jamaa akapigwa za mbavu.
Poa shemeji hamna shida.Niko na Library ya kiaina so usisite kunichek kwa chochote kile unachotaka kukipiga ntachek kama ntakua nacho ntakipandisha tu bila hiana..Si unajua wewe shemeji ..
Aisee hii ni balaa.![]()
K
Views
............
Radhi imekubaliwa, mpe salamu pia
Na badoAisee hii ni balaa.
Mchepuko umenitendaaaPole kwa mkosi wa Jana
................
Ubaya wangu nini?![]()
![]()
![]()
jimena mbaya sana.