Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aiseee twende tukajiselfie tu..sema hii Mvua inaharibu pozi.
Nikipata time lazima niende pale
8cadc03b8617d012547185209c9503bf.jpg
592041b751d00b29cefa5a209b9543e1.jpg
f7b70225c95dcb959a3b8cbc73c7d1a5.jpg
 
Napenda sana tunavyopeana support, yaani inakupa hamasa ya kuchangia unachokipenda tofauti na kule upande wapili ukitaka kupost kitu lazima utegemee na ujipange kwa matusi na dharau.
Wakongwe hawawezi kutukamata 7bu hawapendani + hawana umoja kila mtu anajiona faza wa Jf..wanashindana wenyewe kwa wenyewe
Kazi kwao
..................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom