lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Kuna mtu alinikera sweetNini mpenzi
Kuna mtu alinikera sweetNini mpenzi
Pole mpenzi wangu. Hope now uko poaKuna mtu alinikera sweet
Asantee......yeah yameishaPole mpenzi wangu. Hope now uko poa
Hapo sawa babyAsantee......yeah yameisha
Nimesha samehe shemupole sana shem...samehe bure
My dear...upo pande hizi?subiri upewe kadi ya mwaliko mkuu, usiogope michango, familia itawajibika
Hapo sawa baby

Kumbe kuna maswali?Halafu naomba majibu kabla ya SAA moja please
Pole sana...Shem ila nilikuambia dawa ya vijana wanaochungulia madirishan wakati wakubwa zao wako ndani si wakumwagia maji niwakueleweshwa hiyo si tabia nzuri na urafiki unaendelea..Sasa hao wapo wengi huku pia..Nimesha samehe shemu
Karibu sana mkuuNaam nipo kambi hii rasmi mkuu
Nitakuwa nafanya hvyo shemPole sana...Shem ila nilikuambia dawa ya vijana wanaochungulia madirishan wakati wakubwa zao wako ndani si wakumwagia maji niwakueleweshwa hiyo si tabia nzuri na urafiki unaendelea..Sasa hao wapo wengi huku pia..
Rip liyumbakatangulia sisi nyuma yake......rest in peace.
R.I.P Liumba![]()
R.I.P Anatus Liyumba
.................
AmenR.i.p Liyumba upumzike unapostahili
Nipo njian narud home bbyMy dear...upo pande hizi?