Makapuku Forum

Napenda sana tunavyopeana support, yaani inakupa hamasa ya kuchangia unachokipenda tofauti na kule upande wapili ukitaka kupost kitu lazima utegemee na ujipange kwa matusi na dharau.
Wakongwe hawawezi kutukamata 7bu hawapendani + hawana umoja kila mtu anajiona faza wa Jf..wanashindana wenyewe kwa wenyewe
Kazi kwao
..................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…