Mkuu kama vipi upload hapa.Nina soft copy ya kitabu kilichoandikwa na Donald Trump- How to Get Rich....Jamaa akiwa ametulia ana point sana..Kwa yeyote atakaye hitaji atakipata..
Huu mwenge ni mtumishi hewa
Wacha nifanye hivyo shemeji..Mkuu kama vipi upload hapa.
Kweli inabidi atuambie maana kila mtu anampiga kibutiWatu wanataka kumjua shemeji yao humu. Maana baadae naweka list nzima ya couples
Poa shemeji.Wacha nifanye hivyo shemeji..
Hahahaha anajifanya mgumu eeh
Huu mwenge ni mtumishi hewa
Ninavyojua sizzya007 kapigwa cha mbavu.
Sio kwa cheko hilo duuuh![]()
Bongo samtaimu magumashi
...............
Jimena hana huruma kabisa,mshkaji kila siku analialia lakini hata hamuangalii usoni.Hahahaha anajifanya mgumu eeh
Kitabu hicho akione my wife pia kitamsaidia sana kumpa 1,2 aweze ku-fly kabisa... amaizingCC youngblood cheki nondo hizo kutoka kwa Trump akiwa ametuliza kichwa huwa anatema madini kiaina..