Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Twende tukapige selfie Kigamboni bridgeMchepuko umenitendaaa
...............
Twende tukapige selfie Kigamboni bridgeMchepuko umenitendaaa
Ni kweli kabisa kapuku hamna kukata tamaa
Wana shs ngapi sasa??waambie wajitahidi, replies zikisoma 20k ntamtajaWatu wanataka kumjua shemeji yao humu. Maana baadae naweka list nzima ya couples

Makapuku tuna run jfNa bado
Heshima itakuwepo kwa MAKAPUKU
Thread hot : MAKAPUKU
Vinaara wa likes : MAKAPUKU
Most replies thread: MAKAPUKU
Most views :MAKAPUKU
Wakongwe wanachungulia kaenye katundu kadogo hawaamini kinachotekea
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
Heshima lazima irudi.Na bado
Heshima itakuwepo kwa MAKAPUKU
Thread hot : MAKAPUKU
Vinaara wa likes : MAKAPUKU
Most replies thread: MAKAPUKU
Most views :MAKAPUKU
Wakongwe wanachungulia kaenye katundu kadogo hawaamini kinachotekea
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
Tuko kwenye mazungumzo

Hayo sasa mengineWana shs ngapi sasa??waambie wajitahidi, replies zikisoma 20k ntamtaja
Hayo mazungumzo ya amani auTuko kwenye mazungumzo![]()
![]()
LohHahahaha anajifanya mgumu eeh
Kwa niaba ya makapuku wote humu ndani nakuomba umuangalie huyu kijana kwa jicho la huruma tafadhali.20k replies loading....... Muacheni sizzya007 wa watu jamani,
Aiseee twende tukajiselfie tu..sema hii Mvua inaharibu pozi.Twende tukapige selfie Kigamboni bridge
![]()
![]()
![]()
...............
Ndio kwani uongo. Halafu kuna yule mwingine ulimchekecha juzi hahahaha mpaka akawa anatia huruma humu