Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mjombaangu nawe kwa fix, umejuaje kama hajakwambia kusumbuliwa? Au yale mambo ya kupasua nazi na kuandika kiarabu kwneye mayai?
tzphao8.gif
Bhinamuuu we acha tu ..najua hawakosii bhinamuuu ukiwa na mke mwema kama aunt yako


Uko poa lakini
 
Kwani saa hizi majeshi yamehamia kwa BH?

Muacheni tafadhari, bado ninapenda kusoma maneno yake ya ubarikiwe na amen kila post, manyang'au msimkongoloe....me ndukiiiiiii
Umeeoonaa ana maneno flaniii amaizing ya kutiana moyo (nakujua bhinamu utanyambua)

Tusimpoteze tunampenda sana[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom