Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,558
Poa bro mkubwaAnko hiyo kazi sio nyepesi ,,nashuka mtini nikipanda tena ntakupa mbinu
Poa bro mkubwaAnko hiyo kazi sio nyepesi ,,nashuka mtini nikipanda tena ntakupa mbinu
Karibu sanathis is my first post in this sub-forum
[HASHTAG]#137215[/HASHTAG]
Mungu mwema Mimi sijambo namshukuru,pole Na majukumu ubarikiwePeoplezzzzzz jambo ikoo???
Nakuombea salama..usianguke kwenye mti..muwakilishi wako yuko vizuriiii anatuhabarisha bila kuchoka mbarikiwe sanaaaWakùu napita nimetegesheaa simu kwenye mti
Network shida ila nipo salama ila kipenda roho changu na shemela na wifi wenu ananiwakilisha ...
Bhinamu ondoa ofu
Hahahahaaaa Shunie yuko makini sanaaaNimewamis kinomaaa ila soon tutakuwa wote
Angalizo msi- pm my Shunie![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahhh umenichekesha muwakilishi vimenishinda kazi ina mwenyewe
Nakuombea salama..usianguke kwenye mti..muwakilishi wako yuko vizuriiii anatuhabarisha bila kuchoka mbarikiwe sanaaa
Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
Nashukuru sanaNakuombea salama..usianguke kwenye mti..muwakilishi wako yuko vizuriiii anatuhabarisha bila kuchoka mbarikiwe sanaaa
Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
Yupo mkuuShunie upogo!!!
nipogo kaka akeeShunie upogo!!!
Baby pole na majukumu ...najuaa wamekusumbua wenginipogo kaka akee
nipogo kaka akee

Nawatakia Alhamis njema yenye baraka tele mbarikiwe sana,Na kazi zote halali za mikono yetu zibarikiwe zitoe matunda na mafanikio,wenye changamoto yoyote Mungu awape wepesi ,wagonjwa nawaombea mpone Amen

Baby pole na majukumu ...najuaa wamekusumbua wengi
Wakùu napita nimetegesheaa simu kwenye mti
Network shida ila nipo salama ila kipenda roho changu na shemela na wifi wenu ananiwakilisha ...
Bhinamu ondoa ofu

Nimewamis kinomaaa ila soon tutakuwa wote
Angalizo msi- pm my Shunie![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
