Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Mtukutu sana, hana tofauti na akina Super Mario Balotelli![]()
![]()
![]()
Ana A ya ukorofi
.....
Mtukutu sana, hana tofauti na akina Super Mario Balotelli![]()
![]()
![]()
Ana A ya ukorofi
.....
Thanki yuuu wi a tugeza brazaPamoja sana bablai.
1992 - Casemiro anazaliwa.
Kiungo Mkabaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil.
Utatoa Hutoi
utakua umechelewa kusoma sa 2 tu nilishaweka

1994 - Dakota Fanning anazaliwa.
Ni mwanamitindo na actress toka nchini Marekani.
kuulamba nguo obeNimeipenda tu hiyi singeli? Eti huwezi kwenda popote sababu hujaulamba? Kuulamba unini sasa?
Si wengine hulamba kilichochovya
sante mussolin kwa historiaLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie siku njema.
yupo kijijin sana hakuna net ila leo anarud mjin mchana utamuonaShem lee yupo wap kapotea bila kuaga
usiniambie kaka na ww humo kama obe

me mzima hofu kwako
mi mzima hofu kwako piame mzima hofu kwako
nashkuru saint ivuga me mzima sanami mzima hofu kwako pia
Asante sana ,siku njema kwako pia ubarikiweLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie siku njema.
Huyu hataoa jamani hakuna mkamilifu chini ya jua..Dullah makabila![]()
hahahah huyu mtu ni shidaHuyu hataoa jamani hakuna mkamilifu chini ya jua..
Nimecheka sanaaaa