Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Asante Bhinamu kipenzi ...
Vipi usharipoti kama tulivyoelezewa na fundi ???
Ha ahahahaha, mjomba masharti ya 'fundi' alikataza tusiulizane, utaibemenda hii dawa ukirudia maswali haya ya kitaalamu
Asante Bhinamu kipenzi ...
Vipi usharipoti kama tulivyoelezewa na fundi ???
Nimekosea kuweka ??? ...Ha ahahahaha, mjomba masharti ya 'fundi' alikataza tusiulizane, utaibemenda hii dawa ukirudia maswali haya ya kitaalamu
Nimekosea kuweka ??? ...
Ila bado tuko mlemle hakijaaribika kitu bhinamu na mm uku nimefanya kama alivosema sina mchezo aiseeeeeh
Umeoonaaa make daaaah ingekuwa hatar mkuu weekend bila kituEwaaa bado tuko mule mule, mwenyewe wikend hii kila kitu kinakaa sawa. Uzuri dawa za hawa mafundi hazina yale masharti oooh usinywe pombe. Masharti hakuna, unaruhusiwa kukata kilaji (sema kuchangia gudulia la seriakli) kama wenye dini zao wanavyoghani mistari ya misahafu yao
Ili nisionekane miongoni mwa haters ngoja ninyamaze kuelezea hii pichaduka

OrhaaaàaaaaaaaaiiitaaaaaaahTuwe na Furahi day njema makapuku, tunaanza na kusoma magazeti, tunajikumbusha kipigo cha Arsenal na Barca. Tunafurahia ushindi wa Simba halafu ...
![]()
![]()
Uko bbyeee pappaa ???Ahsante kwa magazeti muzee lee empire
umesahau na ushindi wa man uTuwe na Furahi day njema makapuku, tunaanza na kusoma magazeti, tunajikumbusha kipigo cha Arsenal na Barca. Tunafurahia ushindi wa Simba halafu ...
![]()
![]()
umesahau na ushindi wa man u
hehehee wivuuHa ahahhahah, mechi za Alhamisi zinaingiliana na futuhi so ni kazi kuzikumbuka, nikasahau, niwie radhi nilikuwa naangalia Futuhi
Zero frem mzima ??Hey wakuu mko poa nyie nilikua nimewamiss sana ............... We are together again
Mzima kabisa mkuuZero frem mzima ??