Makapuku Forum

Leo katika historia kwa udhamini wa dikteta


LEO KATIKA HISTORIA: 1933: Rais mteule wa Marekani, Franklin Roosevelt alinusurika katika jaribio la kuuawa nchini humo. Roosevelt alichaguliwa kuwa Rais wa 32 wa nchi hiyo na kuongoza kuanzia mwaka 1933 mpaka kifo chake mwaka 1945.
 
LEO KATIKA HISTORIA: 1984:Askari 500,000 wa Jeshi la Iran waliingia nchini Iraq kwa ajili ya mapambano ya kivita. Nchi hizo jirani ziliingia kwenye mgogoro uliodumu kwa miaka minane kuanzia 1980 – 1988.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…