1960 - Pierluigi Collina anazaliwa.
Refarii wa zamani kutoka nchini Italia aliyekuwa pia mwamuzi wa kimataifa aliyetambulika na FIFA.
Alijipatia Umaarufu kutokana na style yake ya kunyoa Kipara muda wote na macho makali yenye umakini awapo uwanjani.
Anatajwa kama Refarii bora wa wakati wote katika mchezo wa soka.
Ana First Lady mrembo kinomaRais wa Maisha
amtaje buana mukongo
1979 - Rafael Marquez anazaliwa.
Beki wa zamani wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Mexico.
Leo katika Historia:
Tukutane kesho wakuu. Jioni njema.
1981 - Luisao anazaliwa.
Beki wa kati wa Benfica na timu ya taifa ya Brazil.
Ni mmoja kati ya mabeki warefu wenye nidhamu ya hali ya juu.
Ameanza kucheza Benfica toka mwaka 2003 na ndio nahodha wao.
Anasifika pia kwa kuchomekea jezi yake muda wote wa Mchezo.
1986 - Jamie Murray anazaliwa.
Ni mcheza Tennis toka nchini Scotland.
Kwema lakini mkuuHahahaha mussolin5 bana
Hajawaangusha WacamerounAna First Lady mrembo kinoma
......
Kwema sana mkuu naona mpo mnalisongesha jukwaa letuKwema lakini mkuu
Luisao kipande cha mtu.
kama kawa mkuuKwema sana mkuu naona mpo mnalisongesha jukwaa letu
Amekaa sana benfica kakulia hapo hapoLuisao kipande cha mtu.
Tupo pamoja sna mkuukama kawa mkuu
Naogopa kuuliwa. Kuna mtu hapa alishajitangazia umiliki. Mwenyewe niko tayari kugharamia kabisa ikiwezekana kubeba jumla. We acha tu. Wasukuma sisi bado washamba sana. Hata Madenge huwa anatucheka kila siku!mtaje aisee usife na ugonjwa wa moyo
Hahhahah pole sana msukumaNaogopa kuuliwa. Kuna mtu hapa alishajitangazia umiliki. Mwenyewe niko tayari kugharamia kabisa ikiwezekana kubeba jumla. We acha tu. Wasukuma sisi bado washamba sana. Hata Madenge huwa anatucheka kila siku!
Asante sana mkuu ,1 loveLeo katika Historia:
Tukutane kesho wakuu. Jioni njema.