Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
mtaje aisee usife na ugonjwa wa moyoKuna binti mmoja kapuku anaupelekesha moyo wangu jamani. Nimtaje nisimtaje?
amtaje buana mukongoMweh Mweh Mweh!!!USIMTAJEE
hasiwe nanMtaje ila hasiwe .....
Leo katika Historia:
1990 - Makubaliano ya Kuziunganisha Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi yanafanywa ili Kuirudisha Ujerumani moja.
Hii ni baada ya Nchi hizo mbili kutengana muda mfupi baada ya kumalizika kwa Vita kuu ya pili ya Dunia mwaka 1945 hali iliyopelekea Kujengwa kwa Ukuta mashuhuri wa Berlin ulioziyenganisha nchi hizo.
missing too hunBabymisng sooooo much
aiseeAcha kujishtukia mkuu. Kumbuka kwamba
2001 - Tetemeko kubwa lenye kipimo cha skeli ya richter ya 6.6 laikumba Nchi ya El Salvador na kuua takribani watu 400.
Alikuwa anajua sana.Yeah, Collina alikuwa bonge la refa
1933 - Paul Biya anazaliwa.
Ni Rais wa pili wa Cameroon ambaye ndiye aliyepo Madarakani sasa.
Ameshika Madaraka ya Urais kuanzia mwaka 1982 mpaka sasa amabapo ni sawa na miaka 35 akiwa madarakani.
Ni moja kati ya Marais wa Afrika waliokaa sana Madarakani na anayetawala Kidikteta kwa Mkono wa Chuma kando ya Museveni na Robert Mugabe.
Rais wa Maisha
Leo katika Historia:
Tukutane kesho wakuu. Jioni njema.