Kwema mkubwa shululu hope uko vizuriZa mchana Lee
Nipo poa, vp wewe na shemela wanguKwema mkubwa shululu hope uko vizuri
Aiseeh tuko wazima kabisa ila amezidi kwa deko ...ila ntafanyaje ndo nshapendwaNipo poa, vp wewe na shemela wangu
Mambo tayari nini, inabidi umjali sana hamna namna nyingine wako ni wako tuAiseeh tuko wazima kabisa ila amezidi kwa deko ...ila ntafanyaje ndo nshapendwa
Si unajua Mungu hamtupi mtu wakeMambo tayari nini, inabidi umjali sana hamna namna nyingine wako ni wako tu
Byashala yangu hapana muhalamu Papaa.....nafanyaga Byashala na kodhi nalipagaAhaaaaaah mkongo Je ??
Teja mkubwa wwBreaking News:
Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini "Chadema" muheshimiwa Freeman Mbowe akamatwa na kete 24 nyumbani kwake Mikocheni.
Inasemekekana kete hizo zilizikuwa zimehifadhiwa katika eneo la kupumzikia "lounge" lililopo katika bustani ya nyumbani kwake. Hata chanzo chetu cha habari kilitufahamisha kuwa kete hizo zilihifadhiwa mahali hapo kwa kuwa ndipo yeye na marafiki zake huzoea kukaa hapo kwa mapumziko na maongezi baada ya kazi za kutwa nzima. Chanzo cha habari kilifafanua kuwa kete hizo huwa wanazitumia kuchezea mchezo maarufu wa draft. Kete 12 ni za rangi nyekundu na 12 nyingine ni za rangi ya njano. Kufuatia taarifa hii huenda muheshimiwa akawa ni mshabiki wa timu mojawapo kati ya simba na yanga
Ntakuletea zawadi musuri sanaTunamsubiri atoke Belgium
Mukongo kuwaga siliasi bwanaaahBreaking News:
Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini "Chadema" muheshimiwa Freeman Mbowe akamatwa na kete 24 nyumbani kwake Mikocheni.
Inasemekekana kete hizo zilizikuwa zimehifadhiwa katika eneo la kupumzikia "lounge" lililopo katika bustani ya nyumbani kwake. Hata chanzo chetu cha habari kilitufahamisha kuwa kete hizo zilihifadhiwa mahali hapo kwa kuwa ndipo yeye na marafiki zake huzoea kukaa hapo kwa mapumziko na maongezi baada ya kazi za kutwa nzima. Chanzo cha habari kilifafanua kuwa kete hizo huwa wanazitumia kuchezea mchezo maarufu wa draft. Kete 12 ni za rangi nyekundu na 12 nyingine ni za rangi ya njano. Kufuatia taarifa hii huenda muheshimiwa akawa ni mshabiki wa timu mojawapo kati ya simba na yanga
Muzuuuriiiu papaHabarini![]()
Yes, Mteja wa maji ya madafuTeja mkubwa ww
![]()
![]()
![]()
........

MbayaHabarini![]()
Hongera sanaSi unajua Mungu hamtupi mtu wake