shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Nasikia umesahauSweetderling ntasahauje ?? Kwanza nianzie wapi kusahau
Nasikia umesahauSweetderling ntasahauje ?? Kwanza nianzie wapi kusahau
haaaa, chichiem bwana ..Thithiemu ktk ubola wao
HaaaaahaaaaaPedesehee la viroba
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Lakini inakaa sameHahahhh mutu ya pakee, faranga, dollariiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Atasahau tu
Huyu mnyaki naye vip
Ahaaaaah ata kwa ndumba siwezi sahauNasikia umesahau
[emoji16]Haaaaahaaaaa
Naishi Palii-Ufalansa[emoji6]Lakini inakaa same
Kwa mtogoleUkome kupanga Uswaz
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.....
Sasa unafanyaje sasa[emoji3] sijapanga uswazi sema nikienda kwa ndugu, jamaa na marafiki nakutana na haya madhila[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ehe endelea...achan hizo, kuna mechi zetu, mwamuzi kibaka , kitumbua kikidondoka kinapanguswa kitu pwani. Tunasalimiana na kujuana mtaa mzima, hakuna kutombokeana ila hatuna shida na kulombeana maana mafundi wamejaa na tunahitaji kusambaziana upendo.
Unajuana na tunajuana ndo maana tunabarikiana kwa dhiki.
Kuna kingine unataka kujua unachokosa?
Ushaaanza kumpiga majunguLakini inakaa same
Poa za wwShunie mambo
Hahhahahhhaa muulize tu mjomba akoSeriously, ulipotelea wapi hadi mjombaangu lee empire akafurahia kukuona tena
Huko hukoNa kwa shemela wetu
HahahahhahhMpende kweli make aliteseka sana kipindi cha kuleta posa yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Bhimamu wala usijiulize maswali si unajua nikimmis aunt yako ata sekunde kama mwaka
Hahahahhh yupo honeymoonTangu uchukue mwanamwali jana unapatikana kwa manati