Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
nayajua yote hayo na nimeyaishi miaka minne tofauti plus kubadilishana/kuombana mboga!!!...achan hizo, kuna mechi zetu, mwamuzi kibaka , kitumbua kikidondoka kinapanguswa kitu pwani. Tunasalimiana na kujuana mtaa mzima, hakuna kutombokeana ila hatuna shida na kulombeana maana mafundi wamejaa na tunahitaji kusambaziana upendo.
Unajuana na tunajuana ndo maana tunabarikiana kwa dhiki.
Kuna kingine unataka kujua unachokosa?


