Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ur e kapuku wewee and many more uliowataja alafu ktk makapuku wotee wee wenzio wanakushangaa maana umeptliza mpk wanakusema we si type yao maana umezd ukapuku'z
Hujaelewa
Usikurupuke
Kasome post # 3

Kapuku ndo UFAHARI wetu
Walionitukana walikua kwenye thread nyingine na sikuwajibu zen imeunganishwa.....
Hata kukaa kimya pia ni jibu
Usilete vurugu tuko peace
Karibu
.............
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Taratibu bana....
Umekosea njia
29237562bcec66dfc01537085fa7943b.jpg

Katumwa na huyu mzee wa dunderhead
..............
 
Back
Top Bottom