frem zero
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 595
- 879
M,buyu ulianza kama mchicha. Enzi hizo Queen yupo juu ukipiga nae picha umaarufu una kukaribia[emoji3] ila saiv kaka mtu yeye ndo kioo kila mtu macho kwake. Maisha haya hayana formula[emoji30] . Hakika usimdharau usiemjua maana kesho yake huitambui![]()
God win