Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
BhinamuuuuuuuHa hahhahhaha, ataishia kutaja wavuta unga tu wasambazaji na wauzaji kiki zao ngumu kuzipata
![]()
Mfano wako tumeupendaAisee Jimena kajifichia wapi sijui hata hapatikani. Briz naonana naye siku moja moja lakini Sweetiepie alipotea kitambo sana. Japo naona chama kimeongezeka na kuna wadau wapya kama Shunie na Lee Empire
Ukimuacha unitaarifu pia mkuu. Mke mwema anatoka kwa bwana.Baby ngoja nikutambulishe kwa wageni
"Wakuuu wapendwa wageni shunie ni shemela yenu kipenda roho changu " mtu yeyote asikurubuni kukuelekeza kwa shunie
Mkuuu apa ni zaidi ya mubasharaSawasawa mkuu ila itapendeza ukiwa mzamini wa love mubashara.
Hahahaaa tatizo mmezidi ubahili. Nikipata vyote navyovitaka dada wa kazi namtimulia kwaoHausi gelo atafunwe we udai aifon?..... mkyaga nini?

Ni direct basi mubasharaMkuuu apa ni zaidi ya mubashara
Bhinamuuuuuuu
LooooooohUkimuacha unitaarifu pia mkuu. Mke mwema anatoka kwa bwana.
Bhinamu mkikamata kreti za bia tena nigongee dirishani ntaamkaMjomba wikend ndo hii sasa, mambo ya maadili tutakumbushana jumatatu.
Bhinamu mkikamata kreti za bia tena nigongee dirishani ntaamka
Jimena amebanwa na majukumu ya kimaisha hivyo ndo maana haonekani ila majukumu yakiisha atarejea nadhani ni mwezi huu mwishoniAisee Jimena kajifichia wapi sijui hata hapatikani. Briz naonana naye siku moja moja lakini Sweetiepie alipotea kitambo sana. Japo naona chama kimeongezeka na kuna wadau wapya kama Shunie na Lee Empire
Yanga na stand wametokaje mkuu![]()
Tuonane kesho wadau kwa udhamini wa goli la kideoni la Chirwa ambalo Azamtv waliona wivu na kuamua kutolirudia
![]()
![]()
![]()
...........