Twende kaziAlioko macho aje tupige story
Mkuu usiwaze dakika sufuriWakuu tuamke tukapambane lee tafadhari magazeti mapema mkuu
Kashalala huyoTwende kazi
Aiseeeeeh shemela we mbayaTafuta mtu anaeweza kukulinda! A man of standings..
Nakuona kapuku uko macho mida ya wangaKashalala huyo
Lee hulali mm leo sijalala kabisaTwende kazi
Makapuku hatulali tunajiegesha tuNakuona kapuku uko macho mida ya wanga
Komando kipensi mbona nililala mapema nikawaacha mnamsumbua kipenda roho changuLee hulali mm leo sijalala kabisa
Mjomba vipi bhana, utakamatwa na sungusungu,Nakuona kapuku uko macho mida ya wanga
Bhinamuu nisamehe nimeamka mapema waligoma kulipa ruku wapangaji wenzangu nipo nje nakula upepoMjomba vipi bhana, utakamatwa na sungusungu,
Sungu sungu wamelala mida ya wanga hiiMjomba vipi bhana, utakamatwa na sungusungu,
Makapuku hatulali tunajiegesha tu
Daaa ngoja nilale brother MUNGU akipenda asubuhi tutakua pamojaKomando kipensi mbona nililala mapema nikawaacha mnamsumbua kipenda roho changu
Hivi hawa wanyama bado wapo?....kujiegesha na msimu huu wa kunguni, tunakesha tunaangalia kideo
![]()
Bhinamuu nisamehe nimeamka mapema waligoma kulipa ruku wapangaji wenzangu nipo nje nakula upepo
Vipi haukufanikisha ??
Nipe siri ya mafanikio ya kutolala usku kuchaDaaa ngoja nilale brother MUNGU akipenda asubuhi tutakua pamoja