Makapuku Forum

Makapuku Forum

FB_IMG_1486129020306.jpg
 
Natangaza rasmi leo ndio najiunga na Makapuku rasmi kwa moyo wangu mkunjufu bila kusukumwa na mtu Bitoz lee empire werrason BlessedHope Jimena Transcend nahitaji mnipokee, mnielekeze na kunisapoti ili kufuata ilani ya makapuku inavyosema
Mkuu karibu sana wala hujakosea njia ...apa ndo jamvi la wana kapuku upendo mwanzo mwisho ,muhimu kutomkera mtu ,gonga like upate like

Karibu sana na kama hupo single usisite kutangaza fursa
 
Karibu, hapa ni chitchat tunapiga stori za maisha, michezo, vichekesho na utani ule mzuri.....tunakuja hapa kutua stress so ni mwiko kutusi/kuudhi member mwenzio hapa ni peace n love

Kama una swagger zako ruksa kumwaga swagger

And.....Toa like upate like
mukongo mutu ya pesa mingiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom