Hiyo ni mutu ya kongo ndio inatombokagamukongo mutu ya pesa mingiiiii
kuwadi on fleekMkuu karibu sana wala hujakosea njia ...apa ndo jamvi la wana kapuku upendo mwanzo mwisho ,muhimu kutomkera mtu ,gonga like upate like
Karibu sana na kama hupo single usisite kutangaza fursa

ww ndio ulieanzisha usimsukumizie zigo shululuPitia kwa mwanakamati shululu mkuu
mbaya weweUtawaweza mabinti kapuku ...muulize Transcend ila hasikudanganye tunaweza mnyanganya ukapewa wewe jimbo
Baby asante kwa kuwatembelea mashemela zakoshemela mzima nimepata salaam zako
Aiseeee mkuuu unga tela na weweHii inanihusu na mm au![]()
Baby ngoja nikutambulishe kwa wagenimbaya wewe
Nimekuja kuwatembelea kidogoBaby asante kwa kuwatembelea mashemela zako
Ahaaaaaaaah
Mimi mzima shemela wangu, naona ulikuwa busy na mgonjwashemela mzima nimepata salaam zako
Kweli usikae sana baby ...wamekuonaaNimekuja kuwatembelea kidogo
Umemjuaje?

Sweetheart ukimuona jirani mwambie apite ukumbaya wewe
hahahhh unaogopa watakuovartakeBaby ngoja nikutambulishe kwa wageni
"Wakuuu wapendwa wageni shunie ni shemela yenu kipenda roho changu " mtu yeyote asikurubuni kukuelekeza kwa shunie
Asante kwa kuliona hiloww ndio ulieanzisha usimsukumizie zigo shululu