Makapuku Forum

Makapuku Forum

Niko fan wa Darajani, Chelsea FC na kwa hapa home niko kwa Mnyama SSC.
Ila zote zikifungwa huwa narejea kwenye kitu kufuatilia masuala ya kilimo cha kisasa magazetini.

Vipi wewe unashabikia Yanga?
Mnyama tushafungwa
 
1e0b70fc841576617403d17ad228a596.jpg
aisee
 
Niko fan wa Darajani, Chelsea FC na kwa hapa home niko kwa Mnyama SSC.
Ila zote zikifungwa huwa narejea kwenye kitu kufuatilia masuala ya kilimo cha kisasa magazetini.

Vipi wewe unashabikia Yanga?
Watoto wa London, kwa bongo sina timu kabisa
 
Match Stats
Liverpool Wolves
Possession
79% 21%
Shots
20 7
Shots on Target
5 3
Corners
7 4
Fouls
7 13

Liverpool msijesema hatujafuatilia game lenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom