Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
hahahhhh yaan mmenikumbusha hiyo nyimboKipepeo kipeperushi
ndio njia ipi hiyo shululuAsije akapita njia ya wenyewe, watang'oa matairi
Shimba ya BUYENZE ana nini tena jamani? Mbona mi nipo huku Usukumani nakula ugali na mlenda bila wasiwasi wo wote?Una utani na Shimba wa Buyenze
Alikuwa busy na uzinduzi wa mwendo kasi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Trump aje kunitoa kwetu Misungwi? Aje basi ajaribu kama ndege yake itaruka. Ohooo!!!Tangu Trump aapishwe kapotea
![]()
![]()
![]()
......
Shimba ya BUYENZE ana nini tena jamani? Mbona mi nipo huku Usukumani nakula ugali na mlenda bila wasiwasi wo wote?
Halafu hajakamatwa na traffic, hata kumuuliza tu leseni hawajamuulizaNilitaka niwe konda kwenye lile basi analiloendesha JPM sema nikagundua leseni yake class ni ya bajaj nikaona isiwe tabu
Nalihoi gete gete. Bhagosha! Ni harakati tu za kuwatafuta hawa jamaa wekundu zimezidi!Gete gete kapotea kabisa
na nzasa hahahhShimba ya BUYENZE ana nini tena jamani? Mbona mi nipo huku Usukumani nakula ugali na mlenda bila wasiwasi wo wote?
Trump na Shimba wapi na wapi? Kwa Trump mi naendaga kwa muda usiozidi majuma mawili kila mwaka tena kwa mwaliko maalum. US Baby anaonekana? Huyo pengine ndo yuko hatarini kama hajachukua uraia au Green CardKweli mkuu tangu jamaa aanze kazi Shimba kapotea



Hahahhhhha
Umeanza maneno yako. Madenge!!!Nahisi yy na Ngedere wamerudi porini
![]()
![]()
![]()
.....
Halafu hajakamatwa na traffic, hata kumuuliza tu leseni hawajamuuliza
Nashikaga baba nene gitachang'wa lishimba likenaguji. Nipo bandugu!Zigi zigi ngoja nimuite SHIMBA YA BUYENZE
Na wewe niwa kule kule kanda pendwa?...huko usukumani hakuna njaa? Mbute na michembe iwasaidie