Makapuku Forum

Hilo Jina zuri sana
 
Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA) ...Tunapenda kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "NTAKUOA MWAKANI" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa maana walio ndani ya ndoa wanataka kutoka....!!

*UBOTA OYEeeeeH*
 
Hahahhah pole yao wanaotaka kuingia
 
Mkuu ulitumwa nini ???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…