Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Cute bHujanimention vizuri maana sijaona.. ngoja nitafute
Cute bHujanimention vizuri maana sijaona.. ngoja nitafute
Sana mkuu,labda kama ni she*akubali kuchorwa.*Na ukipata Kaz ujue umesota sana.
Mwache mkuu wadau tupoAisee inabidi ulipie matangazo.
Ukiulizwa hilo swali jua kabisa kazi basi tenaHahahaah Afrika tuna tatizo kubwa sana
Acha mkuu eneo letu hilo shemKhaaaa we noma...unakuwadia had mbwa![]()
(joks)
Ukiri huumbaUkapuku wa JF tu ila sio wa mfukoni
Jina halina neno kuwa kapuku jf sio kwamba kila mahali utakua kapukuTukibadili jina tutakuwa tumepoteza asili yetu.
***Makapuku forever.**
Ukiwa mshabiki wa Arsenal maisha yako yatakuwa ya tabu mwanzo mwisho![]()
ArsayNO
..............
Nimekusoma mkuu,huyu mkuu Katavi anataka tubadilishe jina.Jina halina neno kuwa kapuku jf sio kwamba kila mahali utakua kapuku
Mkuu, naomba unitag kwenye ujumbe wako uliouandika jana mchana, nahisi unapatikana kati ya page ya 565 au 566 ila siuoni. Msaada tafadhali Mkuu.Habari zenyu bhana,
Sorry, naomba kuuliza, kuna mdudu anaitwa ruba, jina lake kwa kingereza ni nani???
Au mtu mwenye picha yake aweke maana simjui.
Kweli kabisa.Ukiulizwa hilo swali jua kabisa kazi basi tena
Acha tuKweli kabisa.
Kwasababu ualimu hauna kusema umetumwa* na naniSiku hizi ualimu dili sana japo maslahi ni madogo
Jamaa yangu alispmea uinjinia sasa ni mwalimu wa sekondary

Nani tena?Mpweke
MimiNani tena?
Nini tena.Mpweke