Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
AthanteeeeeHiyo avatar hakika wewe ni amaizing![]()
![]()
![]()
Hii ni hatar asee ukiwa hujatumwa hapo sahau hata ka una cv inajaa page 10
Yeah sio mbaya sana ukisifia vya watuOhoo mkuu tulia mjini kuna vya watu
Hahahaah Afrika tuna tatizo kubwa sana
Basi mkuu katavi wewe sio kapuku anyways karibu kwenye forum yetuHii thread mbona kama siielewi??
Kweli kabisa,hata kama umesoma vitabu na kuvichemsha ukanywa mchuzi hupati job.Hii ni hatar asee ukiwa hujatumwa hapo sahau hata ka una cv inajaa page 10
hhahaah nipo naipitia kuanzia page ya kwanza naona Nina vigezo vyote vya ukapukuBasi mkuu katavi wewe sio kapuku anyways karibu kwenye forum yetu
Kivipi mkuu.Hii thread mbona kama siielewi??
Jina ukakasi libadilike sasaUkapuku wa JF tu ila sio wa mfukoni
Karibu sanahhahaah nipo naipitia kuanzia page ya kwanza naona Nina vigezo vyote vya ukapuku
Si lazima ukidhi vigezo,ukipenda kujoin hamna shida kabisa.hhahaah nipo naipitia kuanzia page ya kwanza naona Nina vigezo vyote vya ukapuku
Na ukipata Kaz ujue umesota sana.Kweli kabisa,hata kama umesoma vitabu na kuvichemsha ukanywa mchuzi hupati job.
Ninao madume safi kabisa kama una majike yalete upate mbegu safi kabisa![]()
Tukibadili jina tutakuwa tumepoteza asili yetu.Jina ukakasi libadilike sasa
AsanteSi lazima ukidhi vigezo,ukipenda kujoin hamna shida kabisa.
Breed gn mkuuNinao madume safi kabisa kama una majike yalete upate mbegu safi kabisa![]()