Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
HakikaMatumaini yangu u-mzima
HakikaMatumaini yangu u-mzima
Tena ni dhambi kubwa sana!!......kuna dada yangu mpendwa wa JF akina fulani wa huku wamemwiba huku na kumficha kabisa!Daah!! Imekuwa ni dhambi kuja huku tena jmn!

Mkuu kinachochangia ni pamoja ubize ni mkubwa na kulala masaa machache sana, siamini kama ntakaa nnenepe...hata hivyo sivutiwi na ubongeUna genes nzuri na metabolism ya mwendo kasi...
Ila kuna jamaa tulikuwa naye o'level alikuwa mwembamba kama fito naye alikuwa anajigamba kama wewe kuwa hata anywe mafuta kamwe hanenepi. Nimekuja kugongana naye mwaka jana maweeee! Hata akina Le Mutuz wawili wanaingia. Nikamuuliza "John what happened?". Jibu lake sasa " Kwani hata mimi najua basi?" Hata wewe mkuu jihadhari. Kunenepa rahisi kuponda kugumu![]()
Achana na mrembo shunie, amejua utamu wa kf, huku ukijiunga kutoka haiwezekaniTena ni dhambi kubwa sana!!......kuna dada yangu mpendwa wa JF akina fulani wa huku wamemwiba huku na kumficha kabisa!![]()
Achana na mrembo shunie, amejua utamu wa kf, huku ukijiunga kutoka haiwezekani
.......siyo huyo mkuu!
Nani huyo bathii!!!![]()
![]()
.......siyo huyo mkuu!
AhaaaaYeye ameshangaa tu kumuona huku
ID yake inaanza na herufi A!Nani huyo bathii!!!

Atoto=espy ...siku hizi mkuuID yake inaanza na herufi A!![]()
Hapana mkuu,yule wala siyo member wa hii forum sana!.....na hata angekuwa ni yeye wala huwa haibiki kirahisi!Atoto![]()
![]()
![]()
![]()
Duuuh simkumbuki huyoHapana mkuu,yule wala siyo member wa hii forum sana!.....na hata angekuwa ni yeye wala huwa haibiki kirahisi!
Niko poafresh aje?
Ahaaaaaaaaaah kimenukaHuyu leo kalikoroga. Sijui atamweleza nini Joanita!!!![]()
Kweli shunie alikua anachungulia mwanzoni usiku ila ikafika time kila mda unamkuta sema now katingwaAchana na mrembo shunie, amejua utamu wa kf, huku ukijiunga kutoka haiwezekani



Shunie unatafutwa hukuAchana na mrembo shunie, amejua utamu wa kf, huku ukijiunga kutoka haiwezekani
Ameizing nini!!Hapana mkuu,yule wala siyo member wa hii forum sana!.....na hata angekuwa ni yeye wala huwa haibiki kirahisi!