...Na tuzo la mhalifu mjinga kwa asubuhi ya leo linawaangukia hawa jamaa (Nitakuwa nawaletea hii kila siku). Kwangu mimi hili ni dirisha la kumjua binadamu (pamoja na mbwembwe zake zote) ni kiumbe wa aina gani.
Ndugu, Huwatendei haki MAKAPUKU. Kama mada haziendani na matakwa yako nadhani ni bora ukaawachia wenye jukwaa lao. Simple! Kwa mfano, mie si mpenzi wa masuala ya ku BET, huwa sigusi kabisa lile jukwaa. Wala si shabiki kabisa wa mijadala ya kidini, na huwa sigusi kabisa jukwaa lile. Ukiishi namna hiyo utaipenda sana JF. Ingia pale tu panapokuhusu ama ambapo una interest napo.
*Mzee mmoja alinunua Robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao dogo akaulizwa umepata ngapi kwenye mtihani dogo akajibu mia mara Roboti likamchapa kofii Baba akasema mi enzi zangu nlikuwa nakuwa wa kwanza mara nae kofii dogo akaanza kucheka mama akasema we unacheka nini unajua huyo ni baba yako mara nae kofii*