sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Kama huniamini sawa....
VIP lakini habari za weekend
Kama huniamini sawa....
Weekend ni poa sana..Kama huniamini sawa....
VIP lakini habari za weekend
Kaka na wewe unasupport hii kitu??Shemeji nafikiri leo amefichwa.

Ukiona manyoya......Kaka na wewe unasupport hii kitu??
Dah wivu sina ila roho inaumaaa![]()
![]()
Nlichelewa kuamka. Na mvua nikashindwa kwenda.Weekend ni poa sana..
Vp ulienda kanisani??
Ulifanya maombi kwa woteWeekend ni poa sana..
Vp ulienda kanisani??
Naona unatumia ile kanuni isemayo...mpe mbwa jina baya auawe mkuuAnachepuka
Adui mwombee njaa....Naona unatumia ile kanuni isemayo...mpe mbwa jina baya auawe mkuu
Nilienda ndugu yangu..Ulifanya maombi kwa wote
Mkuu mbona nilisikia umegraduate kwenda kanisani.Nlichelewa kuamka. Na mvua nikashindwa kwenda.
Ila mungu ni mwema saana
Kuna ndoa anaipatanisha shemMmmhhhh huyu atakuwa players room..... na hiv Leo jumapil![]()
HahaaaaMkuu mbona nilisikia umegraduate kwenda kanisani.
Umefanya vema ndugu.Nilienda ndugu yangu..
Kuna ile sala ya kuombea Tanzania nzima na wananchi wake....hivyo uliwabeba familia yote ya kapuku
Ha haa.... Haiwezekani Ku graduate....Mkuu mbona nilisikia umegraduate kwenda kanisani.
Hahaaa kakaWatu wataanza kuonekana kesho au baadae sana,now watakuwa wanachora na kuchorwa.

Anajenga kwa wenzakeKuna ndoa anaipatanisha shem
Sumbai Nakurionya/nakuonya usivunje bhanaHa haaa.... Na hii baridi ya town... Sijui
Hahaha.Hahaaa kaka
Wanachora tatoo au![]()
![]()