Makapuku Forum

Ule uzi ulikuwa hauwalengi kapuku'z pekee yake, bali ulikuwa unaongelea maisha halisi yanayoendelea hapa JF! Mtoa mada amejiunga mwaka juzi hivyo huwezi kusema na yeye ni mkongwe hapa JF.

Pia wachangiaji wengi walikuwa wanatoka pande zote (kapukuz, wakongwe na wasio na ufungamo wa upande wowote), hivyo basi ule uzi haukuwa na tatizo bali tatizo lilikuwa kwa wale waliokuwa wanauchangia kwa kuleta ligi za ajabu ajabu.

Wote tulikuwepo na pia tulijitahidi kujibu mapigo kadiri ya uwezo wetu na wao pia walifanya vivyo hivyo.
Lakini mwisho wa yote ni je, wamejifunza kitu au tumejifunza kitu kuhusiana na kilichokuwa kinaendelea?

kiwelu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…