Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu chizi kweli
 
Utajiitaje Shimba/Simba bhana wakati Faru John ndo mnyama supastaa
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
........
Aaaa wapi. Shimba ndiye mfalme wa pori wewe. Faru mbwembwe tu. Kapembe kenyewe kamoja halafu kanawindwa non stop.

Huyu FARU JOHN anatumika kisiasa tu na muda wake ukipita hutamsikia tena akitajwa. Kwa sasa anajifanya ana umuhimu mkubwa kuliko hata akina Ben Saanane. Just wait and see[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Samahan!! Hivi ulikumbuka kumwambia Jumatatu aende kwa Jumanne kumuuliza Jumatano kama Alhamisi alimwambia Ijumaa amweleze Jumamosi kuwa Jumapili ni CHRISMAS?
 
Server zikijaa tutakushtua ulete gari ubebe comment zote ukazitupe
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
......
Server ikijaa comment hakuna gari linalotosha kuzibeba, hata gari moshi halitaweza
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji121]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…