Makapuku Forum

Makapuku Forum

MWALIMU : ukiona msichana AMEZIMIA huduma ya kwanza inatakiwa umlaze Chali alafu uunganishe mdomo wake na wako umpulizie pumzi mdomoni huku unambonyeza kifuani taratibu... kuna mwenye swali ?

Deo: mwalimu Nauliza jinsi ya kufanya msichana azimie...?
 
IMG-20161221-WA0001.jpg
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] itabidi nirudi shule kusoma tena hesabu.,...Maana nilikuwa najiona mwamba kwenye hilo somo kumbe kuna vitu nimerukaa[emoji61] [emoji61] ......au ndio maana nilikosea kutegua [emoji378]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] iko hivi kama sabuni inauzwa jiti halafu ikapanda ikauzwa jiti mbili na fisi tunasema ongezeko la gharama kwa asilimia 150[emoji12]
 
Back
Top Bottom