Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kwelii kabisa kapuku..umeamkaje lakini??..Makapuku wenzangu,muda wa kazi
Kwelii kabisa kapuku..umeamkaje lakini??..Makapuku wenzangu,muda wa kazi
..salama ndugu,hofu kwenu hukoKwelii kabisa kapuku..umeamkaje lakini??
Kwetu tuko Poa ..Mungu anasaidia..salama ndugu,hofu kwenu huko


Ipi mkuu..Hii ngoma ya roma inachekesha sana![]()
Morning LeeGood morning family
..Inaitwa K ni KIpi mkuu
Imekaa ka singeli .....Inaitwa K ni K
Goodmorning PapaaGood morning family
Mbote na yo papaaGoodmorning Papaa
Nazali malamu, sango nini Papaa?Mbote na yo papaa
Eee nazali malamu Pappaaa ..Nsango teNazali malamu, sango nini Papaa?
FARU JOHN YA BUYENZEAaaa wapi. Shimba ndiye mfalme wa pori wewe. Faru mbwembwe tu. Kapembe kenyewe kamoja halafu kanawindwa non stop.
Huyu FARU JOHN anatumika kisiasa tu na muda wake ukipita hutamsikia tena akitajwa. Kwa sasa anajifanya ana umuhimu mkubwa kuliko hata akina Ben Saanane. Just wait and see![]()