Si kwa kufurahi huku. Mrs akirudi si ajabu akakuta keshapinduliwa!
Hapo ukute Dada wa kazi ni mwenyeji wa kondoa [emoji6] [emoji125]Si kwa kufurahi huku. Mrs akirudi si ajabu akakuta keshapinduliwa!
Ni Iringa au wapi huko? Si ajabu wanamtaka huyu mbwa wakampiganishe na mbwa wengine huko mitaani. Dog fighting competition za mitaani hizi. Wakati mwingine majogoo wanapambanishwa. Kule vijijini ilikuwa madume ya ng'ombe. Utoto una raha zake!
[emoji15] [emoji15] umeniachia vumbi tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] iko hivi kama sabuni inauzwa jiti halafu ikapanda ikauzwa jiti mbili na fisi tunasema ongezeko la gharama kwa asilimia 150[emoji12]
Nakujaaa......vipi naruhusiwa kuja na sime yanguu???X MAS OFFER:
Natoa offer kwa watu 10 waje Mabibo Beach kula pilau la kambale mixer mbilimbi,pia kutakuwa na togwa,juisi ya miwa,mapapai na maparachichi ya Mabibo Sokoni(Mahakama ya ndizi)
Masharti:
*Chakula kitaliwa bila kunawa mikono
*Usiwe bishoo wala sista duh
*Uwe na uwezo wa kuvumilia harufu ya kimba la pale mabwawani
*Uwe na uwezo wa kupambana na panya road
*Ni lazima uhudhurie mkesha wa kigodoro
Karibuni
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Hapo sipajui nikicheki tofali zimepigwa kwa mchanga tu na saruji kama T.A au Singapore na PwaniNi Iringa au wapi huko? Si ajabu wanamtaka huyu mbwa wakampiganishe na mbwa wengine huko mitaani. Dog fighting competition za mitaani hizi. Wakati mwingine majogoo wanapambanishwa. Kule vijijini ilikuwa madume ya ng'ombe. Utoto una raha zake!
Jikung'ute [emoji3][emoji15] [emoji15] umeniachia vumbi tuu
FARU JOHN? Bitoz vipi tena? FARU JOHN wajanja wameshamrestisha in peace. Unataka nami nirestishwe in peace? Kama ni hivyo ushindwe na ulegee!Itabibidi mwakani ujiite FARU JOHN YA BUYENZE
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Hatar HyoJikung'ute [emoji3]
Daaah Dogo ndio anaweza kufa kama hao madaktar wanavyosema [emoji22] [emoji22]
Namuombea asife kabsaaDaaah Dogo ndio anaweza kufa kama hao madaktar wanavyosema [emoji22] [emoji22]
[emoji120] kweli kabisaNamuombea asife kabsaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Askwambie mtu kuna siku sijaingia kama 11 nikakuta reply karibu mia tisa, ilikuwa jumamosi.....sikuzisoma nikarukia page ya tatu toka waliyopo niliifukuza kama dk. 20 kuwakuta[emoji3]
Rudi shule kijana [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15] [emoji15] umeniachia vumbi tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]achana na avatar fake sifananii nae kabisa