Makapuku Forum

Nakujaaa......vipi naruhusiwa kuja na sime yanguu???
 
Ni Iringa au wapi huko? Si ajabu wanamtaka huyu mbwa wakampiganishe na mbwa wengine huko mitaani. Dog fighting competition za mitaani hizi. Wakati mwingine majogoo wanapambanishwa. Kule vijijini ilikuwa madume ya ng'ombe. Utoto una raha zake!
Hapo sipajui nikicheki tofali zimepigwa kwa mchanga tu na saruji kama T.A au Singapore na Pwani

Em shululu okoa jahazi hapa, ni Iringa hapa???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…