Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Asante sana kwa leo katika historia bora kabisa na wewe pia siku njema mkuu mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Albamu ya Thriller ya Wacko Jacko, nichukue fursa hii kuwaaga rasmi kuwa hii ndio " Leo katika Historia " ya mwisho kabisa toka kwa Mussolin5.
Segment hii imedumu kwa miezi kama mitano, hivyo kutokana na majukumu kunibana, nimpishe mwingine aendeleze segment hii pendwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu wote kwa kipindi chote hiko. Shukrani za pekee zimuendee mzee picha Bitoz ambaye alikuwa ananogesha segment hii kwa picha mujarabu.
Nitaendelea kubaki Kapuku Forum coz Once a Kapuku, Always Kapuku.
Niwatakie siku njema kwenu.
Niaje kipande hiko?Morning Musso
Very sad yaan.. Halaf walikuwa wanaenda kwrnye game ya failnali ya copa sudamerica.. Kipa kafia hospital.. Wachezaj watatu walikuwa wameachwa home..Mmesikia ajali huko Colombia ndege tenye abiria 81 wakiwepo wacheAji wa klabu fulani ta Brazil imeanguka na waliopona ni 6 tu
Mchezaji aliyenuaurika ni mmoja tu ambayo ni beki
Man Utd iliwahi kupatwa na balaa km hilo
......
Mambo haya yalimfanya dennis bergkamp aache kupanda ndegr!!Hata team ya zambia ilishawahi kupatwa na janga hilo na wachezaji wote wakafariki
BablaiNiaje mzeiya?
Timu pinzani ishaomba marehemu wapewe kombe kwa akili ya kuwaenziVery sad yaan.. Halaf walikuwa wanaenda kwrnye game ya failnali ya copa sudamerica.. Kipa kafia hospital.. Wachezaj watatu walikuwa wameachwa home..
Mashetan wekundu!!!Me now ndo naingia mtandaoni, thanks for the news Toz
M.U labda walitoa kafara ili kuja kuvunja rekodi.....si unaona hata a.k.a. yake![]()
![]()
mei biiWATU WAMEPINDA![]()
![]()
Tangazo, tangazo, tangazo
mwenye gari namba
T 2016 JPM akalisogeze watu wanashindwa kufanya mambo yao!!!

Jambo afande!!![]()
![]()
adhabu za kijeshi huwezi kuzujua wewe
Oya nyangema vipi!?Dogo ukishiba embe unaropoka sana
![]()
![]()
![]()
.........
Duh!! Lineker katisha hapa1960 - Gary Linaker anazaliwa.
Staa wa zamani wa timu za Leicester City, Tottenham na timu ya taifa ya England.
Anashikilia rekodi ya pekee ya kutowahi kupewa kadi ya aina yoyote katika Career yake ya soka.
Ni mfungaji wa tatu kwa historia katika timu ya taifa ya England akiwa na magoli 48.
Kwasasa ni mchambuzi maarufu wa soka katika BBC Match oF The Day.
Dah!! So sad!! Wish u all the best, tunaheshim maamuz yako kama vile ulivyotuheshimu na kutuonesha upendo ndani ya muda wote huu..Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Albamu ya Thriller ya Wacko Jacko, nichukue fursa hii kuwaaga rasmi kuwa hii ndio " Leo katika Historia " ya mwisho kabisa toka kwa Mussolin5.
Segment hii imedumu kwa miezi kama mitano, hivyo kutokana na majukumu kunibana, nimpishe mwingine aendeleze segment hii pendwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu wote kwa kipindi chote hiko. Shukrani za pekee zimuendee mzee picha Bitoz ambaye alikuwa ananogesha segment hii kwa picha mujarabu.
Nitaendelea kubaki Kapuku Forum coz Once a Kapuku, Always Kapuku.
Niwatakie siku njema kwenu.
Nimependa uungwana wa wapinzan, jana wakat nasoma habar ya kuwapa kombe imeonesha ni jinsi gani wenzetu walivyokuwa kisoka zaid.. Sidhan km ingetokea kwetu ingekuwa hv..Timu pinzani ishaomba marehemu wapewe kombe kwa akili ya kuwaenzi
Wamekufa wachezaji 22
Ambao hawakusafiri ni wa3 tu
Kwenye ajali kanusurika m1 sijui wa2
Timu za Brazil zimekubaliana kuwapa wachezaji bure
......
Shukrani mkuu, tuko pamoja.Dah!! So sad!! Wish u all the best, tunaheshim maamuz yako kama vile ulivyotuheshimu na kutuonesha upendo ndani ya muda wote huu..
Much respect kwako kaka..
Halaf naskia wamepewa km sikosei mwaka mmoja au miwili kufanya usajilTimu pinzani ishaomba marehemu wapewe kombe kwa akili ya kuwaenzi
Wamekufa wachezaji 22
Ambao hawakusafiri ni wa3 tu
Kwenye ajali kanusurika m1 sijui wa2
Timu za Brazil zimekubaliana kuwapa wachezaji bure
......
Pamoja sana mkuuAsante sana kwa leo katika historia bora kabisa na wewe pia siku njema mkuu mussolin
kuna raia wanamuamini sana tatizoTatizo kazidisha fix
![]()
![]()
![]()
.....
Gud moningi mutu ya jamhuri ya kule kongoGudimoning family