Makapuku Forum

Makapuku Forum

“Status zilizokiki kipindi cha JK”

1. Nikiwa beach napunga upepo
2. With my kids enjoying the day
3. Wakati nipo na masela tukichafua Meza si mchezooo
4. Nikiwa natoka Airport kwenda home likizo
5. Enzi za ubora wangu
6. Feel blessed
7. Thankful
8. Nice Moment
9. Cheers
10. The day I enjoyed never ever

“Status zinazoongoza wakati wa JPM.”

1. Nimekukimbilia ewe bwana nisiaibike milele
2. Bwana ndiwe mchungaji wangu
3. Bwana ndiwe mweza wa yote
4. Ewe bwana nipiganie
5. Nitamshukuru bwana kila wakati
6. Bwana nipe macho nione
7. Sifa na shukrani zikurudia bwana
8. Mungu umemtupa mja wako
9. Bwana sikia kilio changu
10. Wamtumainio bwana ni kama mlima Sayuni.
 
1960 - Gary Linaker anazaliwa.

Staa wa zamani wa timu za Leicester City, Tottenham na timu ya taifa ya England.

Anashikilia rekodi ya pekee ya kutowahi kupewa kadi ya aina yoyote katika Career yake ya soka.

Ni mfungaji wa tatu kwa historia katika timu ya taifa ya England akiwa na magoli 48.

Kwasasa ni mchambuzi maarufu wa soka katika BBC Match oF The Day.
 
Imetulia....marefa watakuwa walimsaidia kuweka rekodi maana tunaonaga kadi kibao za kijinga sasa kwake haguswi
......
 
Leo katika Historia:

Kwa udhamini mnono wa Albamu ya Thriller ya Wacko Jacko, nichukue fursa hii kuwaaga rasmi kuwa hii ndio " Leo katika Historia " ya mwisho kabisa toka kwa Mussolin5.

Segment hii imedumu kwa miezi kama mitano, hivyo kutokana na majukumu kunibana, nimpishe mwingine aendeleze segment hii pendwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu wote kwa kipindi chote hiko. Shukrani za pekee zimuendee mzee picha Bitoz ambaye alikuwa ananogesha segment hii kwa picha mujarabu.

Nitaendelea kubaki Kapuku Forum coz Once a Kapuku, Always Kapuku.

Niwatakie siku njema kwenu.
 
1960 - Gary Linaker anazaliwa.

Staa wa zamani wa timu za Leicester City, Tottenham na timu ya taifa ya England.

Anashikilia rekodi ya pekee ya kutowahi kupewa kadi ya aina yoyote katika Career yake ya soka.

Ni mfungaji wa tatu kwa historia katika timu ya taifa ya England akiwa na magoli 48.

Kwasasa ni mchambuzi maarufu wa soka katika BBC Match oF The Day.
No any card?
 
Leo katika Historia:

Kwa udhamini mnono wa Albamu ya Thriller ya Wacko Jacko, nichukue fursa hii kuwaaga rasmi kuwa hii ndio " Leo katika Historia " ya mwisho kabisa toka kwa Mussolin5.

Segment hii imedumu kwa miezi kama mitano, hivyo kutokana na majukumu kunibana, nimpishe mwingine aendeleze segment hii pendwa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu wote kwa kipindi chote hiko. Shukrani za pekee zimuendee mzee picha Bitoz ambaye alikuwa ananogesha segment hii kwa picha mujarabu.

Nitaendelea kubaki Kapuku Forum coz Once a Kapuku, Always Kapuku.

Niwatakie siku njema kwenu.
Thanks Bablai.....poa kama majukumu yanabana
 
Tunashukuru maana tumejifunza mengi.....najua hakuna atakayeendeleza gurudumu maana inaonekana watu wameridhika

Pia umefanya vyema kusema wazi kuliko wale ambao segment zao zimepotea kimya kimya

Ht Mimi siku hizi mambo yanabana
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom