Hongera mkuu! Tunaweka tangazo kuwa kuanzia Tar 1 Makapuku wote tusicomment kitu kwenye thread zao hata week 1 kwa kuanzia, watatufata huku nakwambia..
Kuna mkono wa mtu sio bure!!!! Mnaaga mapema hivi woote..... Too young to die jamani.. Namm yuleeee naenda kulala nisije tolewa kafara.. Hata foot stapes sisikii!!! G9t kwa aliepo