Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ubarikiweusiku mwema ndugu zangu nawapenda wote upendo wa kawaidaa
Ubarikiweusiku mwema ndugu zangu nawapenda wote upendo wa kawaidaa
Acheni hizo wakuu potezeeni mtaharibu maana ya jf, huu ni upepo utapita muwe wapole tuHongera mkuu! Tunaweka tangazo kuwa kuanzia Tar 1 Makapuku wote tusicomment kitu kwenye thread zao hata week 1 kwa kuanzia, watatufata huku nakwambia..
ba paroko waambie humu mi leo siko sawa...Nimewamiss wote..Kesho bas🙁🙁🙁🙁🙁Uchokozi jamani
Wapi hujaelewa?Kuna sehemu sijaelewa vizuri.
kwaniniNaenda kulala na huzuniko kubwa moyoni😳😳😳🙄😳
Nami nawaombea wote sasa mulale salamaba paroko waambie humu mi leo siko sawa...Nimewamiss wote..Kesho bas🙁🙁🙁🙁🙁
Wamemukataa, yeye ameingia hum akaanza kurusha ndoano bila baraka zangu sasa kakwama anasikitikakwanini
Hapo kwenye 2:0Wapi hujaelewa?
Masafa yametolewa kwa njia ya picha so nimeshindwa kuiuploadHapo kwenye 2:0
Okay sawa mkuu.Masafa yametolewa kwa njia ya picha so nimeshindwa kuiupload
Fresh kabisa.Mnaendeleaje humu
Young mkeo ulimpataOkay sawa mkuu.
Ila naona kwenye hiki kipengele kuna information zinamiss.

Aisee bro ni majanga.Young mkeo ulimpata