Shem hebu mwambie th name anapoandika jina langu Jambilo asisahau kuandika a.k.a mtumishi...halafu mimi sio kapuku cheo hakiruhusu, niko huku kwa kazi maalum, bado hajaona?Wow....senkyuuuu...hivi sapraizi kwa kiswahil huwa tunasemaje[emoji12] [emoji12]
Mshangaooo
Kumbe!Ntakiota kile kibamia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wameanza kutujadili kule! Jf haina usawa kabisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kijana punguza hasira. Kuna watu wanataka kuifanya JF kama yao vile
Ha ha ha ha ha ha ha ww mwenyewe kitufe chako size ya kibamia sasa Mtalimbo utapitia wapi Sikuile siku i zoom saana ila muulize cute bNtakiota kile kibamia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Adden kilichokuleta ni likes...swali ..umempokea Yesu?KAPUKUZZZ OYEEEEEE!!
Natumai wte mabibi na mabwana wazima na wk end zenu ziko poa.kweli humu kuzuri kumechangamka sn big up sn chairman bitozz.twenden kazi
Ila wataelewa tuWameanza kutujadili kule! Jf haina usawa kabisa
Hongera mkuu! Tunaweka tangazo kuwa kuanzia Tar 1 Makapuku wote tusicomment kitu kwenye thread zao hata week 1 kwa kuanzia, watatufata huku nakwambia..Mkuu umenena,ila mimi nishagoma kitambo
Usilale bila kutubu ulianzisha uchokozi hapa wew dadanguKesho kanisani ,usiku mwemaaaaaaaa,lov you [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Me kapuku bana,afu yesu nikampokee saa ngp ss??ungeniambia mapema kabla cjalalaAdden kilichokuleta ni likes...swali ..umempokea Yesu?
Kama jibu ni hapana umwone mtumishi akusaidie kabla hujazoea humu
#MchezoHuuHauhitajiHasira just relax hakuna haja ya kuweka tangazo cha msingi unapotezea kimya kimyaHongera mkuu! Tunaweka tangazo kuwa kuanzia Tar 1 Makapuku wote tusicomment kitu kwenye thread zao hata week 1 kwa kuanzia, watatufata huku nakwambia..
kwani si unaangaliaga na usiwa bibie ... hueanda ushagundua kuwa youngblood ni mti mkavu hauchimbwi dawa,..Mhhhh!!! Hivi unachuki binafsi au? Eti youngblood toka tumejuana nilishawahi kukuomba hata vocha?