Sikuwepo....lakini thread ni ya masela woteMakapuku Forum sasa imetelekezwa............
Tunaingia JF kwa kuiba iba.Sikuwepo....lakini thread ni ya masela wote
Sasa mlishindwaje kulisongesha?
![]()
![]()
![]()
........
Hamna bhana.....tunakomaa kivyetu mtu km anadengua unampotezea tuTunaingia JF kwa kuiba iba.
Sikuwepo....lakini thread ni ya masela wote
Sasa mlishindwaje kulisongesha?
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Nina mapango wa kuwa kivingine.Hamna bhana.....tunakomaa kivyetu mtu km anadengua unampotezea tu
Si unajua tuna maisha yetu nje ya JF/KF
Hivyo tufanye yetu tusiwazungumzie watu
![]()
![]()
.......
Jimboni Pale Morogoro.
![]()
Mzembe upo?
......
Jamani Parachichi MtakulaJimboni Pale Morogoro.
Yote kheriNina mapango wa kuwa kivingine.
Muda si mrefu si nitapotea humu.
Nimezoea kuangalia avatar tu,najua huyu ni nani.Yote kheri
Chamsingi uzima + life linasonga
Mi km Niko bize nafanya ishu zangu .....km nikiwa free nitakuwepo hapa maana hakuna sheria inayombana mtu cha msingi tunakutanaga tu kupunguza stress na kuelimishana
.......
Naona mwanawe Moyo mashine Madereva anazidi kuwakosea adabu wazee mubashara.Jamani Parachichi Mtakula
Nimezoea kuangalia avatar tu,najua huyu ni nani.
Hiyo yako ya sasa nilijua kapuku mpya😱😱😱
Naona mwanawe Moyo mashine Madereva anazidi kuwakosea adabu wazee mubashara.

Hiki kijamaa sijui aliyekibuni aliwaza nini.![]()
Ni mimi nimekuja kivingine baada ya kupopoa vishorwa
![]()
![]()
.......
Kila mods wakiweka hizi nyota= Bwana yule![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
******** linaibuka lingine