Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Kama serekale ya sasa inavyobuni matukio......Ni ubunifu tu
![]()
![]()
.....
Eti Praimu Minista katembea mita 200 na kuokoa mabilioni😎😎😎
Kama serekale ya sasa inavyobuni matukio......Ni ubunifu tu
![]()
![]()
.....
Wkt masela tunatembea from Mabibo to Mikocheni kuokoa Tsh 800/=Kama serekale ya sasa inavyobuni matukio......
Eti Praimu Minista katembea mita 200 na kuokoa mabilioni😎😎😎
Jangala Pengo MaperaKila mods wakiweka hizi nyota******** linaibuka lingine
Kweli Juma Pembe Mbili kachokwa
![]()
![]()
![]()
......
Serikali ya sasa hizi inaboa ingekuwa timu ya mpira tungesema haina kocha wala kapteni wa timu .....yaani hakuna morali kabisa,mashabiki wanalazimishwa wanunue tiketi waingie uwanjan washangiliei wakati litimu lenyewe bovu linacheza rede tu uwanjani badala ya soka😀😀😀😀😀inabidi atembee kwa mguu hadi Ruangwa😀😀😀
Hili tukio, limenifanya kucheka sana, naichukia saner TernzaniaKama serekale ya sasa inavyobuni matukio......
Eti Praimu Minista katembea mita 200 na kuokoa mabilioni😎😎😎
Halafu uwanja hauna magoli,eti wanajisifia wanafunga.Serikali ya sasa hizi inaboa ingekuwa timu ya mpira tungesema haina kocha wala kapteni wa timu .....yaani hakuna morali kabisa,mashabiki wanalazimishwa wanunue tiketi waingie uwanjan washangiliei wakati litimu lenyewe bovu linacheza rede tu uwanjani badala ya soka
......
Halafu uwanja hauna magoli,eti wanajisifia wanafunga.
Kalipeni kwanza mkopo wa HESLB kabda hamjakamatwaHili tukio, limenifanya kucheka sana, naichukia saner Ternzania
Itakuwa ni vzur ukimrecord video ili tupate ushahidi wa kusimulia kwa vizazi vijavyoKesho asubuhi nawahi Mlimwa Hill kumuona akitembea kwa mguu.
Alaf wachezaji wa timu pinzani wamefungwa kamba miguuni ili wasiumiliki mchezo.Halafu uwanja hauna magoli,eti wanajisifia wanafunga.
Tena itakuwa ya sekunde kumi tu;ila kaokoa billions.Itakuwa ni vzur ukimrecord video ili tupate ushahidi wa kusimulia kwa vizazi vijavyo
Najiuliza huo msafara wa magari wa magari yake 3 kwa mita 200 hayo magari yametumia litre ngapi!Tena itakuwa ya sekunde kumi tu;ila kaokoa billions.
MadumuNajiuliza huo msafara wa magari wa magari yake 3 kwa mita 200 hayo magari yametumia litre ngapi!
ya mafuta ya mawese
Magari yote Nusu lita'Najiuliza huo msafara wa magari wa magari yake 3 kwa mita 200 hayo magari yametumia litre ngapi!
Mkuu ukienda huko, usije ukajichosha.. ww ukifika tu piga terko zako 3 then tembeaBrother hood usiku mwema mm ngoja nikaudumie ndoa

Aisee ngap icho kimoja shughuliMkuu ukienda huko, usije ukajichosha.. ww ukifika tu piga terko zako 3 then tembea
![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee ngap icho kimoja shughuli
tumia muda mwingi kusoma/kuhesabu namba na siyo kuwaza sex