Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
1963 - Rais John F. Kennedy anauliwa kwa kupigwa Risasi huko Texas akiwa katika gari ya wazi.
Leo ni miaka 53 toka kifo chake, ndio Rais wa Marekani wa mwisho kuuliwa akiwa Madarakani.
1963 - Rais John F. Kennedy anauliwa kwa kupigwa Risasi huko Texas akiwa katika gari ya wazi.
Leo ni miaka 53 toka kifo chake, ndio Rais wa Marekani wa mwisho kuuliwa akiwa Madarakani.
Kwema bro. Tunamshukuru Mungukwema mkuuu, niaje kipande hiko?

Ahsante kwa picha
Bosi umepoteaAhsante kwa picha
Huyu Makonda
Ni afternun sasa inakaribia
Ahsante kwa picha
Tupo mkuuBosi umepotea
Poa mkuuTupo mkuu