Mpotezee maana naujua uwezo wake upo kwenye kubishana kwenye battle kati ya Russia vs Us hana kingine anachojua zaidi ya ligi..Ndiyo maana wizara ya afya wanasisitiza watoto wanyonye mpaka miaka miwili ifike, bila hivyo madhara yake ni makubwa kama haya.
Subira yavuta heri.Mi nimechoka kusubiri mtu hana hata dalili ya kurudi.
Miguno mizuri tatzo BASS hujui unanitisha miguno kama hyo iwe inatambaa na sauti ya kwanza SASA WW UNAUNGURUMA KAMA TREKTA aaaaghhh ushaniboaAshhhhhhhh!!! Ishiiiiiiii!!! Yereuwiiiiiiii , Yessssssssss bebiiiiiii.......aiii weweeeeeee piiiiiieeeeeennnnnnnnnnnnnccççç......uwhhhhhhhhh!!!!!
EeWerawerawera
Weraweraaaaaa! Makapuku katika ubora wetu, hafu ujue sisi ndo tunafanya Sana thread za hao wanaojiita wakongwe ziende, Kama vipi tufanye mgomo WA Ku comment thread zao hata kwa siku 3 Tu, iwe mwendo WA kusoma kimyakimya, then tunakuja kupiga story uwanja WA nyumbani hapa!
Miguno mizuri tatzo BASS hujui unanitisha miguno kama hyo iwe inatambaa na sauti ya kwanza SASA WW UNAUNGURUMA KAMA TREKTA aaaaghhh ushaniboa
Akirudi ajue tu hana chake.Subira yavuta heri.
Mweeee subiri aje atupe sababu ndo ufanye maamuzi.....Akirudi ajue tu hana chake.
Lazma nikupe makavu 7bu nimekulipawewe masikio Yako yana makengeza......
Mkuu umenena,ila mimi nishagoma kitamboEeWerawerawera
Weraweraaaaaa! Makapuku katika ubora wetu, hafu ujue sisi ndo tunafanya Sana thread za hao wanaojiita wakongwe ziende, Kama vipi tufanye mgomo WA Ku comment thread zao hata kwa siku 3 Tu, iwe mwendo WA kusoma kimyakimya, then tunakuja kupiga story uwanja WA nyumbani hapa!
Hahaha .wewe masikio Yako yana makengeza......
Sababu zipi tena mkuu,wakati ninajua kwamba amefichwa na mshana jrMweeee subiri aje atupe sababu ndo ufanye maamuzi.....
daah....Ongeza na hii
Wanaume wa dar vs Wanaume wa mikoani
Wabeba box vs wala vumbi
Wafia dini vs wazee wa thibitisha Kama mungu yupo
Warusi wa kitanzania vs wamarekani wa kitanzania
Kandambili(wafuga vyura) vs mikia
Kwa hiyo mitabaka yapo. Ila kiukweli inakela Sana nakumbuka 2013 unakuta ameweka post au ametofautiana na MTU amejiunga mda mrefu JF Utaona anakoment kwa kuweka details sake za JOIN DATE, LIKES RECEIVED, LIKES
GIVEN, REP POWER, POSTS. HAlafu MTU wenyewe umejiunga juzi halafu unajifanya unajifanya unajua watu tupo tangu JAMBO FORUM.yaani MTU mpaka unashangaa kisa tu kutofautiana kwa hoja.
Ila hawa watu ipo siku watatuheshimu tu.Mkuu umenena,ila mimi nishagoma kitambo
Nawe pia ila SITAKI UNIOTEKesho kanisani ,usiku mwemaaaaaaaa,lov you
Love you too shemeji.Kesho kanisani ,usiku mwemaaaaaaaa,lov you